Friday, 14 February 2014

WASSIRA NAYE AWEKWA KITIMOTO NA KAMATI YA MAADILI YA CCM



Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Ndugu Stephen Wassira akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa na kamati ya maadili ambapo alisema hakukuwa na tuhuma zozote zaidi ya mashauriano na alisisitiza yeye kamwe hawezi shiriki kukivunja chama. (Picha na Adam Mzee.)

0 comments:

Post a Comment