Monday, 10 February 2014

STAA MFUPI WA NIGERIA AKA PAWPAW.. ALIYECHEZA "AKI NA UKWA" ATIMAYE KUFUNGA NDOA NA MCHUMBA WAKE WA SIKU NYINGI

STAA MFUPI WA NIGERIA AKA PAWPAW.. ALIYECHEZA "AKI NA UKWA" ATIMAYE KUFUNGA NDOA NA MCHUMBA WAKE WA SIKU NYINGI.,..PICHA ZA MPENZIWE HIZI HAPA



 





















Anaitwa Osita Iheme a.k.a ‘Pawpaw’ ambaye hapa tanzania ni maarufu kwa sana hivi karibuni anategemea kumuoa rasmi mchumba wake mrembo kutoka nchi jirani ya ghana, hiii ni baada ya pacha wake wa kimaigizo Chinedu aka AKI kufunga ndoa , msanii huyo ameshakamilisha maandalizi yote ya harusi na anasubiri siku ifike atangaze siku maalum ya harusi hiyo pia amedai ndoa hiyo itakua ni ya siri ili kuwaepuka mapaparazi na vyombo vya habari tazama picha za mrembo huyo hapa chiniNana and Pawpaw Having Fun at the beach
Nana Ama Nana

 

- See more at: http://mchimbuzi.blogspot.com/2014/02/staa-mfupi-wa-nigeria-aka-pawpaw.html#sthash.6putUT23.dpuf

0 comments:

Post a Comment