Monday, 30 December 2013

UKWELI KUHUSU DIAMOND NA WEMA KWA SASA UKO HAPA.UKISIKIA ZINGINE TOFAUTI NA HUU NI UZUSHI.


Tukio hilo lilitokea rasmi juzi kwenye show ya Diamond pale leaders Club ambapo Diamond aliuliza msahabiki wake kuwa ''Mntaka kumjua mchumba wangu?'' 

na ndipo baada ya muda mfupi alipanda stejini mwanadada Wema Sepetu na kuanza kucheza na Diamond na kukumbatiana naye kuonesha ishara ya penzi lao jipya hilo lililorudi kwa kasi.

0 comments:

Post a Comment