Aliyekuwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi akitoa
neno fupi wakati wa hafla fupi ya Makabidhiano rasmi ya Ofisi kwa Waziri
Mpya wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Mhe. Mathias Chikawe(wa pili kulia).
Hafla hiyo imefanyika leo Januari 27, 2014 katika Ukumbi wa Makao Makuu
ya Jeshi la Polisi, Jijini Dar es Salaam.

Waziri
Mpya wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akitoa
maelezo mafupi mbele ya Waandishi wa Habari kabla ya kumkaribisha
aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi
katika hafla fupi ya Makabidhiano ya Ofisi leo Januari 27, 2014 Jijini
Dar es Salaam.

Baadhi
ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na Idara zilizo chini
ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakimsikiliza aliyekuwa Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi wakati wa hafla ya
Makabidhiano rasmi ya Ofisi leo Januari 27, 2014 Jijini Dar es Salaam(wa
kwanza kulia) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir
Minja.

Baadhi
ya Watumishi Waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
wakimsikiliza aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt.
Emmanuel Nchimbi(hayupo pichani) katika hafla fupi ya Makabidhiano rasmi
ya Ofisi leo Januari 27, 2014 Jijini Dar es Salaam( Picha zote na Lucas
Mboje wa Jeshi la Magereza)
POSTED BY CLASSIC B
POWERED BY MUTU MUZITO/KIONGOZI

0 comments:
Post a Comment