Hitmaker
wa Kigeugeu,Jaguar ameitoa video ya wimbo mpya 'Kioo' aliyoshoot na
wafungwa gerezani nchini Kenya (Industrial Area Prison)
Kioo
ni wimbo ambao unaelezea safari ya maisha yake jinsi ambavyo hujitazama
kila wakati kwenye kioo kuona jinsi alivyopiga hatua ndefu.
0 comments:
Post a Comment