Taarifa
ikufikie kwamba Aida Nakawala mwenye umri wa miaka 25 kutoka kijiji cha
Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya aliejifungua
Muuguzi
anasema Watoto hawa walizaliwa wakiwa na uzito uliotofautiana kwa mtoto
wa kwanza hadi wa mwisho kuanzia kilo 1.6,1.5,1.5 na 2.0 ambapo
baada ya kuona hali hiyo ilibidi kumpa rufaa kwa ajili ya msaada zaidi
katika Hospitali ya wazazi ya Meta ambapo waliwekwa kwenye Chumba cha
joto.
Anasema watoto
wananyonya vizuri na iwapo maziwa yanapungua kwa mama utahitajika
msaada wa maziwa ya kopo ili watoto waendelee kupatiwa maziwa kama
kawaida.
Aida
Nakawala alisema hali yake kiuchumi siyo nzuri kuweza kumudu kuwalea
watoto hawa kwa sababu mume wake ni mkulima tu hivyo anaomba msaada wa
hali na mali kutoka kwa wasamaria wema.
Alisema
huo ni uzao wake wanne ambapo mtoto wake wa kwanza ana umri wa miaka
saba, anaefata ana miaka miwili na miezi tisa ila wa tatu alifariki
ambapo alipoulizwa kuhusu kuwepo kwa hali kama hiyo ya kujifungua watoto
zaidi ya mmoja katika familia yao, amesema Mama yake mzazi amewahi
kujifungua mapacha wawili tu na hakuna mtu mwingine aliyewahi kuzidisha
idadi hiyo ya watoto kama yeye.

0 comments:
Post a Comment