
Ray C yupo single.. at least kwa muda huu.
Ray C amesema picha alizoziweka Instagram akiwa
na
mwanaume si maisha halisi bali alitaka ‘kuhave fun’ na mashabiki wake.
Lakini amekiri kuwa usumbufu anaoupata kutoka kwa wanaume si mdogo.
“Sijapata bado mchumba nilikuwa nawachombeza fans wangu kwenye Instagram kwasababu nasumbuliwa sana.”
Kuhusu
nyimbo mpya, Ray C amesema mwaka huu atarudi kwenye muziki kwa kuachia
nyimbo mfululizo akianza na ‘Walimwengu Wote Wajue’utakaotoka mwezi
March.
“Wapenzi
wa muziki wangu wakae mkao wa kula,nyimbo zipo tayari bado kuziachia
tu. Mwaka huu nitaanza na wimbo ‘Walimwengu Wote Wajue’ ambao
umefanyikia chini ya C9 Records. Baada ya hapo harakati za muziki
zitaendelea,” alisema Ray C.
Katika
hatua nyingine, Ray C ameandika ujumbe huu kwenye Instagram: Yes am
back……Ingawa wabaya wangu walitamani nisipone…Mungu alinipenda zaid…back
to life ….am back Yo!!!Sty Tuned….Big Things r
coming.
Wednesday, 8 January 2014
RAY C "BADO NIPO SINGLE JAPO BADO NASUMBULIWA SANA NA VIDUME"
14:29
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment