Monday, 10 February 2014

UPDATES: MVUA KUBWA YENYE UPEPO MKALI YAEZUA PAA LA DARASA NA NYUMBA YA MWALIMU WILAYANI HAI

Posted by Barnabas Jason On Tuesday, February 11, 2014
 Moja ya Madarasa yakiwa yameharibiwa vibaya na Mvua na kusababisha kuezua paa na kubomoa Darasa hilo
 Baadhi ya miti ikiwa imeangushwa chini na mvua kubwa iliyo sababishwa na  Mvua kali iliyo ambatana na upepo mkali na radi.
 Nyumba ya Mwalimu ambayo ilikuwa inajengwa na paa Juu likiwa tayari lakini , mvua kubwa imeliezua

0 comments:

Post a Comment