Monday, 10 February 2014

WAFANYABIASHARA IRINGA NAO WAFUNGA MADUKA KUGOMEA MASHINE ZA TRA, ANGALIA PICHA



Baadhi ya maduka yakiwa yamefungwa eneo la Miyomboni mjini Iringa....
 WAFANYABISHARA wa maduka katika manispaa ya Iringa, mkoani hapa wamegoma kufungua maduka yao kwa lengo la  kupinga mashine za kutolea risiti za elektroniki (EFD.
 
Mwitikio imeshuhudia maduka yote kufungwa, huku baadhi ya wafanyabiashara wakijikusanya makundi na wengine kuzunguka huku na kule kuhamasisha, biashara zote zifungwe,  kwa madai kuwa  hawazitaki mashine hizo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo tozo la asimia 18.
 
chanzo:mwitikio 

0 comments:

Post a Comment