
MWANAMKE mwenye umri wa miaka 43 nchini Ireland amefariki dunia baada ya kufanya mapenzi na Mbwa.
Mwanamke
huyo ambaye alikuwa ni mama wa watoto wa wanne, jina lake halijatajwa,
lakini imefahamika kwamba alifahamiana na mwanaume mwenye umri wa miaka
57, Sean McDonnell kwenye mtandao wa Zoofili ambako walichati kuhusiana na kufanya mapenzi na mbwa na baadaye walikutana mwaka Oktoba 2008.
Wakati
wanakutana, McDonnell alikuwa na mbwa huyo mwenye asili ya Ujerumani,
na hatimaye mpango wao ukafanikiwa, Mbwa afanya mapenzi, a.k.a akamla
uroda mama huyo.
Muda mfupi baada ya kukamilika kwa tendo hilo
mwanamke huyo alianza kuumwa, akakimbizwa hospitali (sijui alisema
anaumwa nini), akafariki dunia muda mfupi baadaye.
Inadaiwa kuwa,
mwanamke huyo alifariki dunia kutokana na aleji aliyoipata kutokana na
mbegu za kiume za mbwa kuingia kwenye mwili wake.
Ingawa polisi
walithibitisha kuwa tendo hilo lilifanyika kwa ridhaa ya mwanamke huyo,
Sean McDonnell, amekamatwa na kushitakiwa mahakamani akidaiwa
kumlazimisha mwanamke huyo avunje amri ya sita na Mbwa!
Kama atapatikana na hatia, McDonnell huenda akahukumiwa kifungo cha maisha.
Tuesday, 31 December 2013
MWANAMKE AFARIKI DUNIA BAADA YA KUFANYA MAPENZI NA MBWA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment