MREMBO aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Hamisa
Mabeto’ ameonekana kuchuana na demu wa zamani wa mwanamuziki Jackson Makini ‘Prezzo’, Huddah Menroe kwenye ishu ya kupiga picha za utupu.
Hamisa
ambaye hivi karibuni alipata zali ya kupamba jarida moja la burudani
nchini Kenya kwa picha iliyo kinyume na maadili, anadaiwa kupiga picha
nyingi za kihasara huku ikielezwa kuwa, kwa Kenya sasa anachuana na
Huddah.
“Unajua
kwa huku Kenya Huddah anasifika kwa picha chafu, sasa hizi alizopiga
Hamisa zimemfanya Huddah naye kutupia yake nyingine ya utupu, yaani ni
kama wanachuana vile,” alisema mmoja wa wadau wa burudani
aliyejitambulisha kwa jina la Japhet.




0 comments:
Post a Comment