
Nimetembea
baa nyingi kinondoni na sinza siku za karibuni, nimeshangazwa na
ongezeko kubwa sana la mashoga tena siku hizi hawajifichi kama zamani!! Juzi
nilikuwa baa moja pale kinondoni opposite na mango garden nikawakuta
wengi sana wanagonga kilaji na kujichekesha kama madem. Ikabidi
nimuulize bar maid akaniambia wanafanya sherehe ya rafk yao!!
Hivi tatizo ni nini? Maana ni hatari sana kwa jamii yetu na naona jamii inaanza kuwakubali taratibu
0 comments:
Post a Comment