Mpenzi wa Nay wa Mitego hajapenda kile alichokiona kwenye video ya Nakula Ujana.
Kwa
mujibu wa Nay, video hiyo imesababisha ugomvi ndani ya uhusiano wao
kutokana na Nay kuonekana kwenye video hiyo akishikwa kifuani na sehemu
zingine za mwilini na wasichana warembo wa Kenya.
0 comments:
Post a Comment