Alitamka
haya kwenye chombo kimoja , huku akidai ya kwamba amekuwa single kwa
muda mrefu sana na sasa yuko tayari kuolewa na angefurahi sana
kama angepata kidume kutoka Tanzania kwani alishawahi kufika tanzania,
huku akitoa sifa kem kem kwamba wanaume, wa Tanzania ni wakarimu,
wapole pia wanajali sana tofauti na wengine ambao nimeshawahi kukutanana
nao.
HAYA WADAU KAZI KWENU...!!

0 comments:
Post a Comment